Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 18. 04. 2025

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.

Vichwa via Habari:

๐Ÿ”ธ Majeshi wa Mozambique Awana dalili zozote kuhusu wanajeshi waliotekwa na magaide kwenye bara bara namber 380

๐Ÿ”ธ Magaide wamefunga barabara namber 14 inayounganisha miji miwili muhimu ya Cabo Delgado

๐Ÿ”ธ General wa Jeshi anahakikisha Kwamba hali ya usalama Katika Cabo Delgado iko sawa.

Unaweza kusikiliza toleo hiili katika Luga yako uipendayo Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani,tembelea ukurasa wetu , Avoz.org au chaneli zetu za Whatsapp au telegram.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast.
18 Apr 5AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 04. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Harakati za kigaidi zinalazimisha masomo kusimamiswa Katika Shule 13 ๐Ÿ”ธ Ugaidi unalazimisha kufungwa Kwa Shule zaidi ya Shule 100 huko Cabo Delgadoโ€ฆ
25 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 03. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 28.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Mwanajeshi wa Kikosi Cha wagambo ameuwawa Wilaya ya Macomia ๐Ÿ”ธ Gavana wa Cabo Delgado anawalinganishaโ€ฆ
28 Mar 12AM 13 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Mzozo wa mafuta umeanza huko Cabo Delgado ๐Ÿ”ธ Magaide waua mtu Moja Meluco ๐Ÿ”ธโ€ฆ
21 Mar 5AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: ๐Ÿ”ธ Magaide wamilazimisha kufunga Shule ya Mocimboa da Praia ๐Ÿ”ธ Rwanda inatathimine Vyema utendaji wakeโ€ฆ
15 Mar 1PM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 03. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: ๐Ÿ”ธ Ofisi ya mwendesha mashtaka inachunguza uhulifu na unyanyasaji wa vikosi vya usalama hilaya ya Palma ๐Ÿ”ธโ€ฆ
8 Mar 3AM 11 min