Sauti Ya Cabo Delgado 12.10.2023

Loading player...
Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.10.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wakishilikiana na mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa vya Habari:

🔸 Rais wa Jamhur amfukuza kazi mkuu wa Majeshi

🔸 Kiwanda Cha kubangua korosho kimiajiri watu 100 huko Palma

🔸 Wananchi wa Pemba watoa wito wa kukomesha Mashambulizi ya kigaidi.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili ya Avoz.org ya Cabo Delgado pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz .org.
11 Oct 2024 4PM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 03. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 28.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mwanajeshi wa Kikosi Cha wagambo ameuwawa Wilaya ya Macomia 🔸 Gavana wa Cabo Delgado anawalinganisha…
28 Mar 12AM 13 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mzozo wa mafuta umeanza huko Cabo Delgado 🔸 Magaide waua mtu Moja Meluco 🔸…
21 Mar 5AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Magaide wamilazimisha kufunga Shule ya Mocimboa da Praia 🔸 Rwanda inatathimine Vyema utendaji wake…
15 Mar 1PM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 03. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Ofisi ya mwendesha mashtaka inachunguza uhulifu na unyanyasaji wa vikosi vya usalama hilaya ya Palma 🔸…
8 Mar 3AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 02. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 28.02.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Wanajeshi wawili waliuawa Katika shambuliio la kigaidi Wilaya Quissanga 🔸 Mwanaharakati wa Kijami anakashifu unyanyasaji…
28 Feb 3AM 10 min