Sauti Ya Cabo Delgado 27.09.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2024, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.
Vichwa via Habari:
🔸 Wanajeshi wa Mozambique wamesema Magaidi wamepoteza nguvu kwenye Pwani ya Macomia
🔸 Majeshi wa Mozambique huenda wakahusika na vifo vya raia Waliopatikana Mocimboa da Praia
🔸 Serikali yazuwia watu kutembeya Katika Wilaya ya Mocimboa da Praia.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda kwenye +25843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno kimakuwa kimakonde Kimuani na kiswahili.
Plural Media habari Kwa lugha yako.