Sauti Ya Cabo Delgado de 07.08.2024

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe,07.08.2024.Ssuti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa vya Habari:

🔸 Majeshi ya Mozambique na Rwanda wanzisha mashambulizi Wilaya ya Macomia.

🔸 Kamanda mkuu wa Police aomba Radhi Kwa utendaji kazi mbovu Majeshi wa Mozambique.

🔸 Wafanya kazi wa Chiure wanakimbia kwa sababu ya ugaidi.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.
7 Aug 2024 2AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 03. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 28.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mwanajeshi wa Kikosi Cha wagambo ameuwawa Wilaya ya Macomia 🔸 Gavana wa Cabo Delgado anawalinganisha…
28 Mar 12AM 13 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mzozo wa mafuta umeanza huko Cabo Delgado 🔸 Magaide waua mtu Moja Meluco 🔸…
21 Mar 5AM 10 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Magaide wamilazimisha kufunga Shule ya Mocimboa da Praia 🔸 Rwanda inatathimine Vyema utendaji wake…
15 Mar 1PM 12 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 07. 03. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Ofisi ya mwendesha mashtaka inachunguza uhulifu na unyanyasaji wa vikosi vya usalama hilaya ya Palma 🔸…
8 Mar 3AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 02. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 28.02.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Wanajeshi wawili waliuawa Katika shambuliio la kigaidi Wilaya Quissanga 🔸 Mwanaharakati wa Kijami anakashifu unyanyasaji…
28 Feb 3AM 10 min