NoticiAudio Kimwani de 15 a 22 de Abril de 2022
Loading player...
Salama jamah mussikiliza noticiAudio. Karibuni habar za lelo kamba ezi:
◾️ Upelelezi wankweleza kuwepo atuwa haba kuhussu kuvunjiwa haki za binadamu mbele ya wanu washugulikila haki za binadamu.(Carta de Moçambique).
◾️ Miaka miwili tangu akapoteye mwandishi wa habari Ibraimo Mbaruco anamba kupatikana madjibu (DW)
◾️ Leonor de Sousa katondoliwa kuwa secretária nkulu wa MDM (Lusa)
◾️Wakazi wa Kipinga Tchishugulikila mbeyu mu inti ya Moçambiqui awali kupokela ipitha miezi 18 (DW)
Landikisse uzuji wa Podcast ema ukurassa wa Telegram na WhatsApp pamodja na ukurassa wa Facebook wa NoticiAudio ili uphathe habazi za mana za inty ya Moçambique, kwa Kila sumana.
Leia o script em Português aqui
Assante Sana, mphaka nafassi Nhenguine!