Shauty Ya Cabo Delgado 16.12.2021
Loading player...
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya December 16.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Raisi wa Jamhuri Filipe Nyusi anatowa wito wa kuwa macho kwa magaidi wasitumie barabara ya Balama Ruaça kufanya mashambulizi mapya uko Niassa.
🔸Laini ya hotuba ya watoto imejibu zaidi ya simu 3.000 tangu seteptmber katika mji wa Pemba.
🔸Mwanajeshi anaedaiwa kumpinga kijana ndogo wilayani Nangade.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako