Lidi Lya Cabo Delgado 03.11,2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November,03,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Mke wa katibu wa serikal anasaidia familia 142 zilizohamisha katika jiji la Nampula.
🔸Serikal imeshindwa kutimiza ahadi kwa familia zilizohamishwa katika myumba za makazi.
🔸Bidhaa za hitaji la kwanza zimerudi katika kijiji cha Palma.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe +258843285766 Kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili
Plural Media habari kwa lugha yako