NoticiAudio Kimwani 16.07.2021
Loading player...
Salama jamah mussikiliza noticiAudio. Karibuni habar za lelo kamba ezi:
▪CDD yankulalamika presidenti Felipe Nhusi kwa kutwala atuwa kuhussu madjeshi bila kussema ku bungue.
▪Usikini mu inty ya Moçambiqui wankwenguezeka kamba wya wenguezeka wanainchi wa inty ya Moçambiqui.
▪Kazi da kulima zikilingoziwa kwa hissabu za zina maana keleza ministru Coreia.
▪Kiyiongozi wa munício ya Nacala Raul Novinte kankudaniziliwa ku muinguilila muana wa miaka 15 kinhume cha Sharia.
Landikisse uzuji wa Podcast ema ukurassa wa Telegram na WhatsApp pamodja na ukurassa wa Facebook wa NoticiAudio ili uphathe habazi za mana za inty ya Moçambique, kwa Kila sumana.
Assante Sana, mphaka nafassi Nhenguine!